Log in
updated 5:40 PM UTC, Apr 16, 2017

Katibu wa Bunge Dkt Thomas Kashililah akitangaza mbele ya waandishi wa habari kikosi kazi cha maafisa wa Bunge watakaofanya kazi na Kamati ya Hesabu za Mashirika ya Umma kwa muda wa siku kumi (10) na kuiwasilisha taarifa kamili Bungeni. Mambo yote haya yamefanyika kwa uwazi mkubwa mbele ya waandishi wa habari.

Last modified onMonday, 05 January 2015 08:26