Log in
updated 5:40 PM UTC, Apr 16, 2017

AG AMTEMBELEA SPIKA KWA SALAM MAALUM

Featured AG AMTEMBELEA SPIKA KWA SALAM MAALUM

Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji George Masaju leo amemtembela Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Anne Semamba Makinda ofisini kwake kwa lengo la kujitambulisha na baadaye kufanya mazungumzo maalum. Pichani ni Spika Makinda akiwa kwenye mazungumzo na mgeni wake Jaji George Masaju

Last modified onWednesday, 14 January 2015 07:33