Log in
updated 5:40 PM UTC, Apr 16, 2017

SPIKA MAKINDA KWENYE KUSIMIKWA KWA ASKOFU MKUU WA JIMBO KUU LA DODOMA

SPIKA MAKINDA KWENYE KUSIMIKWA KWA ASKOFU MKUU WA JIMBO KUU LA DODOMA Carlos Osorio/Associated Press

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Anne Makinda (Mb), ( wa pili kutoka kushoto) ni miongoni mwa viongozi mashuhuri walioshiriki kwenye Ibada na baadaye sherehe za kumweka wakfu Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dodoma, Mhashamu Baba Askofu Beatus Kinyaiya. Sherehe hizo zilizohudhuriwa na maaskofu, vingozi wa serikali, viongozi mbalimbali wa madhehebu na dini mbalimbali, wakiongozwa na Makamu wa Rais Dkt Gharib Bilal zilifanyika katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Paulo wa Msalaba mjini Dodoma tarehe 18/01/2015. Baba Mtakatifu Francis alimteua Padre Beatus Kinyaiya kuwa Askofu Mkuu na kulitangaza jimbo la Dodoma kuwa jimbo Kuu mwishoni mwa mwaka 2014 mauris. Maecenas quam dui, egestas non fermentum at, elementum sit amet dui.

Last modified onTuesday, 20 January 2015 09:36