Log in
updated 5:40 PM UTC, Apr 16, 2017

Jaji Masaju ala kiapo cha ubunge

  • Published in ikulu

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji George Masaju, akifanya kiapo cha ubunge mbele ya Spika wa Bunge mara baada ya kuteuliwa na Rais wa Jamhuri kushika wadhifa huo baada ya mtangulizi wake Jaji Fredrick Werema kujiuzulu kutokana na kuishauri vibaya serikali kuhusiana na fedha za akaunti ya Escrow. Shughuli hii ilifanyika kwenye Bunge la Kumi, Mkutano wa Kumi na Nane, Kikao cha Kwanza.

Last modified onMonday, 02 February 2015 13:43