Log in
updated 5:40 PM UTC, Apr 16, 2017

TAIFA LAMUAGA CAPTAIN JOHN DAMIANO MTOKAMBALI KOMBA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Taifa na Sehemu ya Pili ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Kikatiba) Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na Mama Salma Kikwete wakiwaongoza waombolezaji katika kuweka udongo ndani ya kaburi lenye mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Mbinga Magharibi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM hayati Captain John Damiano Mtokambali Komba.